mjepo
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 4,913
- 916
Wamechanganyikiwa hata wakaona wafanye leo, huku wakiwashunikiza watumishi kuhudhuria. Utakuta mabasi yamekodiwa, kama ilivyo sera yao, kuwaleta watu kwenye mikutano yao.
Lazima wachanganyikiwe kwa kuwa CHADEMA wanafanya harakati siku za kazi, na raia wanahudhuria.
mkuu wewe unakunywa gongo ile ya mzee slaa au ile ambayo lema anatengeneza kwake.