Habari bila wasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari bila wasi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkwaruzo, Mar 27, 2012.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hebu tudondosheane vitu vya kama huyu kachala Wasiwasi Magulambo, dah, nimevutiwa navyo ila kwangu mm kuvisikia inakuwa tabu kidogo.
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mikwaruzo umekwaruzwa na nini mbona hueleweki au ni mimi tu?
   
 3. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Chali angu hadi mimi sijakunyaka :A S 13:, unamaanisha nini mkuu
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...0%
  Network failed !
   
 5. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Utaweza kunielewa ninachokusudia ikiwa tu utafungulia Clouds fm radio 20:50 katika 10 za emplifaya coz ndani yake ndo inapatikana sigment ya 'habari bila wasiwasi'
   
 6. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 468
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  NĂ­ wasiwasi mwabulambo siyo magulambo mkuu.au na wewe umeingiwa na wasiwasi nini.maana majina mengine utafikiri walikosa jina la kumpa jamani?kabisa unajipinda kutafuta mtoto kisha unampata alafu unampa jina wasiwasi.pole sana mwenye hilo jina maana haikuwa hiyari yako.lakini ningekuwa mimi ningelikataa bwana kwani lazima kuitwa hivyo?
   
 7. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sikujuwa kama lile ni jina lake halisi au ni jina la kutafutia kula tu pale kazini. Ila kiukweli yule jamaa ni mkali ktk kila kipindi na jinsi anavyotumia swaga za kizushi kama vile ni lugha ya kawaida.
   
Loading...