Zunguka kwenye vibanda vya chips uone wanavyopika,ujue gunia la viazi linatoa ndoo ngapi na ndoo moja inatoa sahani ngapi,then buni kitu chako cha kipekee kwenye mapishi, anza na kijana mmoja mfundishe kazi,huku ukiangalia floo ya wateja.Ukiona inaongezeka ongeza kijana mwingine kadri ya mahitaji yako