Habar nahitaji kijana mtaalam wa kuaandaa chips tufungue banda

Abdulh saidy

Member
Aug 8, 2018
16
5
husika na kichwa cha habar hapo juu .nahitaji kijana mtaalamu wa kuandaa chips nataka nitafute/tutafute location nzur niweke banda LA chips.npo chanika .na location tutatafutia ndan ya chanika.ahsante.
 
Zunguka kwenye vibanda vya chips uone wanavyopika,ujue gunia la viazi linatoa ndoo ngapi na ndoo moja inatoa sahani ngapi,then buni kitu chako cha kipekee kwenye mapishi, anza na kijana mmoja mfundishe kazi,huku ukiangalia floo ya wateja.Ukiona inaongezeka ongeza kijana mwingine kadri ya mahitaji yako
 
husika na kichwa cha habar hapo juu .nahitaji kijana mtaalamu wa kuandaa chips nataka nitafute/tutafute location nzur niweke banda LA chips.npo chanika .na location tutatafutia ndan ya chanika.ahsante.
Mimi sijawahi ata kupika ila kama utanifundisha nko tayari
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom