Habar mbaya kwa Play-Boys

Weeeeeeeeh!
Mubaya sana mimi(kutoboa ozone/kukesha). U can never defeat me aisee. Sema namsindikiza Maza stand. Anasafiri asubuh hii.

We tufanye ligi beginning tomorrow uone!.
mshana jr

That's what we call excuses! But nop !!! Jus accept defeat kama yanga/ ccm
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmh!!

Hapo kumbe tumepishana kila kona aiseee!

Ebu na England je?(soccer). Maana kisiasa & clubs(za bongo) tuko parallel kabisa.

Nijaribu karata ya mwisho (England). mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmh!!

Hapo kumbe tumepishana kila kona aiseee!

Ebu na England je?(soccer). Maana kisiasa & clubs(za bongo) tuko parallel kabisa.

Nijaribu karata ya mwisho (England). mshana jr

Get it...! Congrats!!!!
 
Last edited by a moderator:
Sasa we mwenye uzi unataka watu waoe wakati wewe unashindwa kusimamia uzi. . . ,mara mashindano ya kutokulala, mara siasa, mara mpira. . . . . . . .au kuoa unaona simpo sana. . . .ndoa sio mtindo wa nywele, ukikosewa au kuuchoka unabadili tu. . . . . . . .
 

Uzi haujaathiriwa bado mkuu. Theme yake bado relevant.

*Kuoa kwa mtindo huo hatukatai(japo haipendekezwi sana). Ila, suala nikuoa. Singleness Costs!
 
Kwa upande wangu ni kweli kabisa.

Mwezi uliopita alikuja girlfrind wangu akakaa wiki 2.

Nimeangalia matumizi niliotumia na ambayo huwa natumia nikiwa peke yangu nimegundua nikiwa peke yangu nina matumizi makubwa kuliko akiwepo girlfriend.

Ila hiyo sio sababu ya kumfanya mtu aoe,kuoa ni issue nyingine.
 

Hahaha...
 

Mkuu Kichwa Ndio Mtu nimeipenda hiyo pic kwny avator yako nitumie pliiiz,
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…