HA!!!!!!!!!! Huyo SANGOMA vipi?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Jamaa mmoja alikwenda kwa Mganga a. k. a. Sangoma kwa ajili ya kufundishwa jinsi ya kutabiria watu mambo yao ikiwa ni pamoja na kusoma viganjwa vya mikono.
JAMAA: Mganga nimekuja unifundishe jinsi ya kufanya utabiri
MGANGA: Poa, haina taabu, lakini inabidi ufuate masharti nitakayokuagiza
JAMAA: Poa
MGANGA: Vua nguo zote, Jamaa akavua nguo zote akaambiwa geuka halafu inama, Jamaa akafanya kama Mganga alivyomwambia, Mganga naye akavua nguo zake kisha akaanza kumpaka mafuta katika sehemu za makalio na ......Jamaa akastuka akamwambia Mganga vipi? Mbona unataka kuni....... MGANGA akamwambia Jamaa kwamba wewe unakichwa chepesi sanaaaaa ... ulijuaje? ...... wengine mpaka hapo wangekuwa bado kuelewa..... Sasa wewe nenda zako .... tayari umeshajua kutabiri.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom