kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
Wanatafuta pa kutokea.
Huku Dr Tulia kawatia pini
Kule IGP Mangu kaweka mkwara
Posho kwishney
Waanzishe M4C ya kuchangia mlo wa mchana.
Ndio siasa ndugu yangu.Sidhani kam uko sahihi,ile ya Iringa walienda viongozi wa CCM wangapi??CHASO walialika viongozi wangapi Dodoma??Mmoja tu Sumaye,tuwe wakweli tujitahidi tupige vita ubaguzi huu wa kiitikadi sisi sote ni watanzania.
Kumbuka usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako.
teheteheWanatafuta pa kutokea.
Huku Dr Tulia kawatia pini
Kule IGP Mangu kaweka mkwara
Posho kwishney
Waanzishe M4C ya kuchangia mlo wa mchana.
Habari yako MM?tehetehe
salama bbHabari yako MM?
Ndio siasa ndugu yangu.
UKAWA wamechagua kuwa na ligi ya mifarakano na serikali na bunge, vyote vinavyoongozwa na chama tawala.
Niambie na uwe mkweli, walitegemea nini?
Old dogs says "when economy is bad, economy is an issue, and when economy is good something else is an issue"
Mkuu huo utaratibu si kwa bunge la Tanzania tu, dunia nzima.Hakukutakiwa kuwa na yote hayo maana wako kisheria.Umeliona Bunge letu lilivyokibogoyo,kama chama kinatoa tahadhari kwa wabunge wake kama msipoipitisha mchague chama cha kwenda,unadhani kama mpiga kura unatendewa haki??SIoni kama wanajenga mitafaruku bali serikali ndiyo inayojenga mitafaruku hiyo.najua wewe ni mwanaCCM lakini ukiwa mkweli kwa nafsi yako utaona umuhimu wa Bunge kuwa huru hata kwa asilimia 80 tu.Je Tulia amechaguliwa toka jimbo gani??Ameletwa pale kwa ajili ya kupitisha bajeti,bajeti ambayo inaenda kumpa pesa IPTL ili ibadili mitambo yake,IPTL iliyoiingizia taifa hasara kubwa leo tunaenda kumpa mabilioni,unaona ni sawa??Hivi kuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyehoji??
Kaka yangu unaweza kufurahia walivyofanyiwa wapinzani kesho ukijasikia madudu ya hiyo Bajeti hakika hutompenda Tulia.Hivi kama adhabu hujiulizi kwanini kosa la January liadhibiwe June??Kesho ukiambiwa lilikuwa siyo kosa kamati ilikosea na Bajeti isiyokidhi matakwa ya raia,utamlilia nani??
Mimi ni Mtanzania mzaliwa ninayeipenda nchi yangu kwa moyo wangu wote,sikupenda alivyofanya Tulia,kwa elimu yake nimedharau kabisa
Misi weye wallah!salama bb
ulikuwa wapi ama walikulisha ban long time no see ...........Misi weye wallah!
Haya mambo ya kuandika bila ushahidi ndio baadae mnaanza kulialia tuwasaidie kuchangisha M 7 .Unauhakika waliagizwa hivo? Hii sheria mpaka kueleweka itakua imetafuna wengi... Unatoa ushuhuda kwa jambo ambalo hata hujui, wakikufinya, aaaaaa! nchi hii tunaonewa Sana.Hakukutakiwa kuwa na yote hayo maana wako kisheria.Umeliona Bunge letu lilivyokibogoyo,kama chama kinatoa tahadhari kwa wabunge wake kama msipoipitisha mchague chama cha kwenda,unadhani kama mpiga kura unatendewa haki??SIoni kama wanajenga mitafaruku bali serikali ndiyo inayojenga mitafaruku hiyo.najua wewe ni mwanaCCM lakini ukiwa mkweli kwa nafsi yako utaona umuhimu wa Bunge kuwa huru hata kwa asilimia 80 tu.Je Tulia amechaguliwa toka jimbo gani??Ameletwa pale kwa ajili ya kupitisha bajeti,bajeti ambayo inaenda kumpa pesa IPTL ili ibadili mitambo yake,IPTL iliyoiingizia taifa hasara kubwa leo tunaenda kumpa mabilioni,unaona ni sawa??Hivi kuna mbunge hata mmoja wa CCM aliyehoji??
Kaka yangu unaweza kufurahia walivyofanyiwa wapinzani kesho ukijasikia madudu ya hiyo Bajeti hakika hutompenda Tulia.Hivi kama adhabu hujiulizi kwanini kosa la January liadhibiwe June??Kesho ukiambiwa lilikuwa siyo kosa kamati ilikosea na Bajeti isiyokidhi matakwa ya raia,utamlilia nani??
Mimi ni Mtanzania mzaliwa ninayeipenda nchi yangu kwa moyo wangu wote,sikupenda alivyofanya Tulia,kwa elimu yake nimedharau kabisa
Haya mambo ya kuandika bila ushahidi ndio baadae mnaanza kulialia tuwasaidie kuchangisha M 7 .Unauhakika waliagizwa hivo? Hii sheria mpaka kueleweka itakua imetafuna wengi... Unatoa ushuhuda kwa jambo ambalo hata hujui, wakikufinya, aaaaaa! nchi hii tunaonewa Sana.
Mkuu huo utaratibu si kwa bunge la Tanzania tu, dunia nzima.
Office of the Chief Whip
Mphikwa Jackson Mthembu
ANC Chief Whip
Dorris Eunice Dlakude
ANC Deputy Chief Whip
Dr Hunadi Mateme
NCOP Chief Whip
ANC Chief Whip
Mphikwa Jackson Mthembu
Tel:021 403 3860
Fax: 021 461 0462
The Chief Whip of the Majority Party is the most senior ANC Whip, upon whom rests the ultimate responsibility for the actions of all ANC MP`s. It is the task of the Chief Whip to ensure that all ANC MP`s perform their functions efficiently. The Chief Whip, is the most senior party Parliamentary Office Bearer; is the political manager and strategist for ANC Caucus and acts as a communications link between ANC MP`s and the Executive (Cabinet). The Chief Whip acts on delegated authority from the NEC and the Political Committee. In executing this mandate the Chief Whip delegates authority to other Whips and Members as the circumstances may determine
- See more at: ANC Chief Whip
Ha ha ha ban mitaa hii kama kawa.ulikuwa wapi ama walikulisha ban long time no see ...........
sawa sawa.............Ha ha ha ban mitaa hii kama kawa.
Mkuu naona unachukua msimamo wa "the end justifies the means".Tofauti yao na yetu hao wako huru kuijadili kwa manufaa ya Taifa lao.Hakuna mahali wapinzani wamezibwa midomo.Na ndiyo sababu hata walipopiga kura,walikosa kura nne tu kumuondoa rais,kwa sababu wanao uhuru wa kutenda wakiwa Bungeni.Mengine ni kukubaliana katika kutokubaliana.Siye hapa ni agizo,hakuna utashi
Mkuu naona unachukua msimamo wa "the end justifies the means".
Hata nikieleza mantiki ipi hutakubaliana mpaka Dr Tulia aondoke,
Bahati mbaya kwenu, kwetu nzuri, hata mafua hapati!!!