sebastian longfellow
Senior Member
- Feb 13, 2014
- 173
- 117
Demu mkariiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma,mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kurupoka"we mzee ni viatu vyako vinanuka au?mzee akamjibu kwa upole"hapana mjukuu wangu ebu angalia chup yako iko upande mjukuu wangu"
demu kimyaa
demu kimyaa