Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,463 Reaction score 25,241 Aug 28, 2025 #41 Missile of the Nation said: Hii ya kuunganisha NIDA,NEC na CCM imenivuruga kabisaaa. Yaani Siamini kama nchi iitwayo Tanzania ipo au tuna kitu kinaitwa Tanzania-Rostam-Mtandao. Wahuni wamemgeuza Rais wetu kama Nyapara wa kulinda masilahi yao! Click to expand... Usisahau singasinga mwenye puto tumboni naye ALIKUWA MCHANGIAJI wa chama pale mlimani city
Missile of the Nation said: Hii ya kuunganisha NIDA,NEC na CCM imenivuruga kabisaaa. Yaani Siamini kama nchi iitwayo Tanzania ipo au tuna kitu kinaitwa Tanzania-Rostam-Mtandao. Wahuni wamemgeuza Rais wetu kama Nyapara wa kulinda masilahi yao! Click to expand... Usisahau singasinga mwenye puto tumboni naye ALIKUWA MCHANGIAJI wa chama pale mlimani city