View attachment 3448737
Yule roporopo mwingine wa Mtama si kila siku anatueleza kushinda kwa hila ndio utamaduni wao CCM. Kuna mada ngapi za yule fisadi alietemwa Bumbuli na genge lake kuchezea mfumo wa IT 2015.
Polepole hakuwa na sababu ya kuongelea kwa undani, kitu ambacho tayari ni ‘open secret’ kwa watanzania.
Si ndio maana hata CDM na watanzania wanataka reforms (no elections) swala lingine.
Miscalculated move kwa upande wa Polepole, more like adding substance to a saturated solution.
It changes nothing nor add value, zaidi ya kujiharibia trustworthiness yake, huko mbele watu watakuwa makini kumwambia mazito ya nchi kama hana kifua ya kukaa na siri.
CHADEMA hawajawahi kuwa wrong.....hadi raha, huu mtifuano wa CCM sio wa kitoto.Kwa aliyoyasema HP, Chadema wako sahihi sana na msimamo wao wa NRNE. 🤔
Ukiwa vitani na ghafla adui yako akakupa hints za namna ya kumshinda, unahitaji kuwa karibu nae as far as hizo hints ni genuine 😄HP 2015 na 2020 naye alikuwa engineer WA huu michezo kiasi cha kushinda uchaguzi kelele zikapigwa na watu wakapiga kimya na yeye akashangilia ushindi hata kwa kutukebehi, God father amekufa na sasa network haipo tena tunamuona shujaa.
Ukiwa vitani na ghafla adui yako akakupa hints za namna ya kumshinda, unahitaji kuwa karibu nae as far as hizo hints ni genuine 😄
Ccm awapendi mchapakaziKumbe hata Zenji Mwinyi akukubaliwa nawana
Ndio mama anaifanya kazi
Once a traitor always a traitor.
Ogopa msaliti aliyeshangili jana baada ya upepo kuwa upande wake na leo anachukia matendo yale yale baada ya upepo kuwa tofauti na yeye.
Tujifunze Kwa El na team yake walivyoudhoofisha upinzani.
Case ya HP ni gangs war ndani ya CCM na dhamira yao ni ileile wote, tuwe makini hapa.
ndani ya mitaa ya Benghazi Libya.
Bado Ngwaj boy aje apigilie msumari wa mwishoTaifa linaxidi kufunguliwa taratibu , na wao wanajua ,kama siri za ushindi zitaendelewa kuachiwa itafika mahali hata wao wenyewe watajiona wapo uchi .
Sibora tu wangelikubali tu zile minimal reforms halafu watupige kwa upande wa pili kuliko hii haibu wanayoendelea kukutana nayo?
HHP ameondoka mwenyewe kwenye system. Huwezi kusema anaongea haya kwa vile upepo hauko upande wake.Ogopa msaliti aliyeshangili jana baada ya upepo kuwa upande wake na leo anachukia matendo yale yale baada ya upepo kuwa tofauti na yeye