Gypsum bora kwa sasa

msakhara

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
297
Reaction score
405
Habari wakuu,
Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni.

Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo:

Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000)
-Gyproc
-Oriana

Made in Thailand [Tsh 24000-27000]
-Standard gypsum

made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)
Double elephant
Knauf
Andika
BBG

-Kwa uzoefu wenu, utofauti wa board hizi huwa ni nini?
-Board zipi ni bora?
-Ubora unapimwaje ili kuepuka uchakachaji wa wafanyabiashara wasio waaminifu?
Tuelimishane.
 
Naomgezea swali, je zile board double huhesabika ni Moja au mbili ktk kununua?
 
Ngoja waje kukupa muongozo.

CC Mahondaw
 
Nahitaji double elephant bei ya jumla wanauzaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…