martial arts
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 191
- 100
Unaweza kunipa info japo ya gym zozote unazozifahamu ambazo zipo maeneo hayo,bei yoyote!Kwa hayo maeneo gym ya bei hiyo, ni local sana
Unaweza kunipa info japo ya gym zozote unazozifahamu ambazo zipo maeneo hayo,bei yoyote!
Is it my eyes? Mbona huku Kimara ni chini ya lakiGym cheapest masaki ni 130000
Hata nyumba masaki ni ghali kuliko kimaraIs it my eyes? Mbona huku Kimara ni chini ya laki
kwahyo unataka ukatengeneze body katika shape nzuriSana yani[emoji16]
Nitakwambiaje sasa,ebu ni pm namba[emoji16].Soon nakuja kuanza hapoNjoo jirani na shule ya mapambano sinza kuna gym nzuri tu elfu hamsini kwa mwezi ukija niambie
Chap mkuu,tuje kulisongeshaSoon nitafungua GYm yangu
Shukrani mkuu kwa ushauri.Pigia matizi home au kwenye kiwanja cha mpira,
squat,pushups,situps,skiping rope n.k
then hiyo 50 kila mwezi unaanza kukusanya vifaa vya matizi mdogo mdogo mpaka na ww utamiliki vifaa vyako,
Tabata kituo mangumi kuna kibao cheupe kimeandikwa jina la hiyo Gym.Shukrani mkuu kwa ushauri.
Fanya usafi ghetto kila asubuhi. Ufagie uwanja deki chooni, tembea kwa mguu kwenda/kurudi kazini/mizunguko yakoHabari za muda huu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza,kwa wale wazoefu wa jiji ningependa kuuliza ni gym gani ambayo ni nzuri with affordable price kwa maeneo ya kariakoo,upanga,msasani na masaki.Bei isiwe zaidi ya 50000 kwa mwezi au ikienda sana 60000.
NawasilishaView attachment 1144885
Mawasiliano yao plsTabata kituo mangumi kuna kibao cheupe kimeandikwa jina la hiyo Gym.
Gym safii alafu bei chee kwa siku 1500 iko full hii unaweza lipa kwa wiki, siku au hata mwezi