Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
mhh....mm wa HOME GYM huniambii kitu...
na book langu kwa siku au buku 20 kwa mwezi sina habari..!saa nyingine gym ni ww mwenyewe na utumiaji wa vifaa vilivyopo...mawazo yangu.
Oilcom wamechuja sana sababu ya kukosa huduma muafaka...kila siku hali inazidi kudorora. Waamke kidogo sasa....ile ya Masaki ndio imekaa poa
Akijazia upande mmoja kesho anabadirisha mkono!!Si atajazia upande mmoja
Akijazia upande mmoja kesho anabadirisha mkono!!
Nimepoteza simu nipigie nipate no yako nakitu tujadili!.hahahaha...hiyo Kali
Ya Veta Oil Com Iko poa zaidi
Yap! Veta pale Oil com wako poa sana.
Huduma nzuri, na niko nao mpaka leo.
:frusty: :frusty: :frusty: