Bei buku ten kwa siku kwa mwezi laki na 20
Na lunch hapo hapo mkuu?
Na lunch hapo hapo mkuu?
Wanakufulia na nguo
mhh....mm wa HOME GYM huniambii kitu...
na book langu kwa siku au buku 20 kwa mwezi sina habari..!saa nyingine gym ni ww mwenyewe na utumiaji wa vifaa vilivyopo...mawazo yangu.
Mie nafanyiaga hapo oil com sayansi Mara moja moja...ila naambiwa azura pale jkt mlalakuwa wako vzr nenda kajaribu pia
Gym ya kichovu kabisa hiyo. Been there and their customer service was god-awful.
Bei buku ten kwa siku kwa mwezi laki na 20
Njoo upige vyuma vya zege uzito kisado uone msuri!
Azura kwenyewe sh ngapi?