HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
pembeni ya madona HOSPTALI kuna GYM ya kisasa pale, mpya haina hata mwaka.Wananzengo habari za hapa bongo Mimi nimtz nilikuwa masomon North Korea kwa mapank nmerudi sasa naishi Tabata reli hivyo nauliza sehemu ya mazoezi hapa Tabata ni wapi ilinikaendeleze maana kule NK ilikuwa lazima upende usipende
Utamuweza wewe anapiga mkono ni balaaaNipe mmoja
Kule nifull sheria tu ukivunja wafwaaTupe story za north korea bab