Inamaanisha Gyan kaipenda Tanzania na yuko tayari kupewa uraia ili achezee timu ya taifa la Tanzania.
Kabla ya yote tunataka atuoneshe uwezo wake kwanza ndani ya kikosi cha Simba sc.
Kama akifanya vizuri tutampa uraia.
Yuko sawa. Halipingiki hilo, Simba SC nguvu moja!Ni suala la muda tu.. ila kwa sisi tunaomuona kila siku mazoezini, Jamaa anafaa kukabidhiwa namba katika timu ya Taifa.
kumbe siku hizi Mayanja ndio kocha wa timu ya taifa.Yule mshambuliaji machachari sana toka nchini Ghana, Nicholaus Gyan, ambaye nchini kwake wanamfahamu kama King Goal amtemka kua yu tayari kutoa huduma kwa Taifa liltakalo muhitaji.
Namnukuu... “I have been rejected and maligned by my own people and wouldn’t mind playing for any country that approaches me. How can I miss out on the Black Stars B squad after scoring 11 goals in the season?”
USHAURI WANGU KWA MAYANJA:
Mayanja, tuletee Gyan Taifa Starz, ili atukatie ile kiu yetu ya mda mrefu sana.
- KWAKUA, uwezo wa Gyan hauna chembe yoyote ya mashaka. Hii ni kutokana na rekodi zake machachari. Mfano ndani ya msimu huu katika ligi ngumu kabisa barani Africa, Ghana Premier League, jamaa alishatupia goli 11, assist 5 katika mechi 21.
- KWAKUA, kuna tatizo sugu na la mda mrefu la mpachika mabao katika timu yetu ya Taifa.
- KWAKUA, Gyan mwenyewe yu tayari kulitumikia taifa lolote.
braza unazo walau akili hata za kuvukia barabara???? Kwani Mayanga ndio anatoa uraia kwa wageni?USHAURI WANGU KWA MAYANGA:
Mayanga, tuletee Gyan Taifa Starz, ili atukatie ile kiu yetu ya mda mrefu sana.
- KWAKUA, uwezo wa Gyan hauna chembe yoyote ya mashaka. Hii ni kutokana na rekodi zake machachari. Mfano ndani ya msimu huu katika ligi ngumu kabisa barani Africa, Ghana Premier League, jamaa alishatupia goli 11, assist 5 katika mechi 21.
- KWAKUA, kuna tatizo sugu na la mda mrefu la mpachika mabao katika timu yetu ya Taifa.
- KWAKUA, Gyan mwenyewe yu tayari kulitumikia taifa lolote.
kumbe siku hizi Mayanja ndio kocha wa timu ya taifa.