Gy yupo?

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,890
11,288
Kwa wale members wazee tulianza kukosa pumzi za machapisho... namtafuta mzee mwenzangu GY....
 

Attachments

  • generation Y.jpg
    generation Y.jpg
    9.4 KB · Views: 36
huyu bwana hata mimi namtafuta.......mara ya mwisho tulifuata mwanga.....tokea siku hiyo amepotea kabisa.......GY....hebu kuja pande hii tusikie lolote kutoka kwako.........
halafu na wewe TIMING.....nimekukosa sana.........
 
Back
Top Bottom