GX 110 naiuza

Ta Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,550
Reaction score
2,200
Nauza GX 110 VVTI, ECONOM, KM 11/Litre, mpya imepaki, ipo geita, Tsh. 12,000,000 bei ya kuanzia kupunguziana inakubalika, ni cc 2450, kiyoyozi kipo full, redio + CD inafanya kazi na ya ukweli, km 112,000 imetembea, ina Gia D,D3,D4, L-L3 + P.

Kwa mawasiliano na picha zaidi kwenye whatsupp tumia no 0782 80 88 44. au 0718 80 88 44

Note, haina tatizo lolote na haijawai gongwa au pata ajali, naiuza kwa ajili ya kutatua matatizo ya kifamilia tu.
 

Attachments

  • Ta muganyizi 843.jpg
    70.1 KB · Views: 589
  • Ta muganyizi 1145.jpg
    51.2 KB · Views: 514
  • Ta muganyizi 1146.jpg
    52.3 KB · Views: 487
  • Ta muganyizi 1148.jpg
    61 KB · Views: 468
  • Ta muganyizi 1151.jpg
    66.3 KB · Views: 507
Mkuu ungeweka na specification zake wadau wakague:
1. Odometer reading
2. Mwaka wa kutengenezwa kwake
3. Ukubwa wa injini
4. Accessory za ndani zilizopo mf. AC, DVD/VCD/CD ROM nk kama zipo
 
Km 112000, ac ipo na inafanya kazi, cc 2450,radio ipo na inafanya kazi,
 
Mkuu ungeweka na specification zake wadau wakague:
1. Odometer reading
2. Mwaka wa kutengenezwa kwake
3. Ukubwa wa injini
4. Accessory za ndani zilizopo mf. AC, DVD/VCD/CD ROM nk kama zipo

Nimeweka mkuu
 
ndiyo mpya hiyo inamaana haijawahi tembea hapa bongo?
 
Km laki moja na kumi na mbili elfu mkuu iyo n ndogo sana maana watu wananunua magari yenye km 200,000! Kitu bado kinalipa na namba yake ni CLK
 
Labda kwa uko uko GEITA wasiojua bei za magari, lkn dar hizo mpaka ml8 unapata tena namba c. Ila wajinga awaishi bana jaribu bahati yako utampata tu
 
Mkuu ungeweka na specification zake wadau wakague:
1. Odometer reading
2. Mwaka wa kutengenezwa kwake
3. Ukubwa wa injini
4. Accessory za ndani zilizopo mf. AC, DVD/VCD/CD ROM nk kama zipo

Mkuu nimefanya marekebisho kwenye post
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…