GX 110 naitaka kwa ajili ya harusi-Urgent

TMK DAR

Member
Jul 27, 2011
46
11
Wakuu natanguliza heshima,
Naomba kujua mwenye GX 110 kwa ajili ya harusi kuanzia 0930am -2000Hrs,ili mradi iwe kwenye hali nzuri. Ni DSM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom