NTEGEYE Jr
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 322
- 286
Leo katika maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru, nimefurahishwa na Kiongozi wa Kikosi cha gwaride la Kimya kimya.
Lakini zaidi sana nimefurahishwa na ushiriki wa Afande Balotel maarufu kama KIWI hasa akiwa anakata Kona na wakati wa kunyoosha mistari.
Anafanya yote kwa umahiri na uimara kama anacheza ngoma vile.