Gwaride la kimya kimya

Gwaride la kimya kimya

mimi nimefurahi yule kiongozi mwanamke hivi kaolewa kweli?
Kaolewa mme wake ni mimi ambaye nilikuwa namla kimyakimya Kama gwaride lake lakini sasa najitaja sio kimya tena maana mkiona askari kakaza makalio mnaanza mbwembwe.
 
Inamaana pamoja na TV zote kuonyesha ujaona nakushauri jiunge na simu TV.
Wengine tupo vijijini huku, REA ndo kwanza wanainstall sasa hvi na bado umeme wenyewe magumashi kwa kuwa bado upo katika phase ya majaribio
 
Dah...Baloteli a.k.a Kiwi dah ni mtamu jamani sura nzito hacheki kitu kiuno balaa huwez amini nilikua pekeangu naanagalia lakini nilikua nachaka balaa...hadi ile show niliirudia usiku kwani kulikua kuna marudio SAA 4 usiku ITV hadi nikaipotezea FNL ya CH 5....
KiWi ingekua zama za JK ungeula wallahi
Pia Kiongozi wenu yule biMdada dah kajaaliwa mpododo safi sana pale naonga nyumba
 
Back
Top Bottom