Gwandazzzzzzz!!....!!

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,022
Wamependezaje na gwandazz??!!!

attachment.php
 
Attachments

  • Gwandazzz.jpg
    Gwandazzz.jpg
    115.6 KB · Views: 666
hivi je kwa watoto chini ya miaka 18 kuwashirikisha kwenye maswala ya chama siyo kinyume na haki za watoto? nauliza hivyo mnake hata ccm wanawatoto wao sijui kwa nini wanapenda kuwatumia kwanguu mimi imekaa kama vile kuwafundisha ubaguzi tena ule wa uchochezi.
 
kamuulize nape kule njombe kwa nini alivalisha watoto wa chekechea nguo za magamba na kuwapeleka kwenye mkutano
 
kamuulize nape kule njombe kwa nini alivalisha watoto wa chekechea nguo za magamba na kuwapeleka kwenye mkutano

nafikir mkuu huko kwa nape wala hukupaswa kwenda kwa kuwa frank ulipaswa unijibu kile unacho kijua wewe kuliko kunituma kwenda kutafuta majibu kwa mtu hata ambaye simjui. kama huna jibu lenye mashiko ulitakiwa ukae kimya tu. lkn wenye akili wameelewa namaanisha nini na watanijibu kiuhalisia.
 
gwanda lisilopitia jkt basi linakua na ujanja wa mdomo tu lakini mwili umejaa uoga
 
Kwa kweli wamependeza tuache unazi wa kusema vitu tusivyojua, tusitumie masaburi kufikiri, kuna watu kila mwaka wanatumia watoto wetu wa shule kwenye shughuli za chama chao au hatuoni? Ama kweli gamba mpaka machoni... duh

Ndiyo maana hata maredio,manaibu maredio wenu jumlisha wenye stuli wenu mliowapitisha kwa wingi wa kura zenu kuongoza shughuli za mjengoni hawajui kutafsiri kanuni na miongozo ya mjengoni.. Shame.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom