ruston8919
Member
- Mar 31, 2012
- 68
- 14
mkuu nimependa jibu lako, hahahahaha. ila bei ni tofauti kulingana na aina ya kitambaa, sio ulanguzi. vp umeshapata gwanda lako?
majibu mepesi kwa maswali makini tabu kwelikweli, huko kote hupati, cha msing nenda kariakoo au posta karibu na DTV uliza kwa mwarabu kanunue kitamba sema kaki ya morogoro au american kaki then nitakuelekeza fundi mzuri ukipenda nitafuteBotique nyingi wanauza, ni common. Fika maduka ya Mwenge, Posta mpya, kariakoo na kwingineko kwingi tu. Gwanda zilikuwepo toka zamazi ila CDM waliamua kufanya kuwa vazi lao rasmi. Kuna kila rangi za gwanda utazipata bila wawasi.
Siamini kama mkuu umeweza kuongea kwa upole namna hii, kweli ramadhani imekuacha vizuri!!!!
Wakuu naomba mwenye kufahamu sehemu wanakouza gwanda za chadema mbali na mikutanoni cz mikutano c kila cku, pia ningependa kujua bei zake kwa uhakika, kwa sasa nipo iringa, nitaelekea dar then kilimanjaro. msaada pliz.
Mkuu njoo Kinondoni makao makuu ya CDM

acha ushambaMkuu nenda kituo chochote cha polisi zinapatikana nyingi tu.