Gwajima

Kama ana fedha hizo mbona bado wanasalia kwa uwanja hata yule wa ARUSHA jo nani sijui nae kanisa pale la makuti na kondoo wanazidi kuwa masikini tuuu.....
 
Hapo hapo kwenye taaluma yako: Diagnosis hufanywa kwa mambo kadhaa: history, physical examination and lab investigations(to say just few). umefanya lipi kati ya haya mpaka ukapata hiyo conclusion yako?
Usimpe kichwa huyu Neutral Figure(that hiyo ni profession yake) hana lolote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…