Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
Na wewe kwa nini hujiulizi, Mali zake ndo ilikuwa sababu ya yeye kutakiwa polisi?
Hatujawahi kusikia au hujawahi kusikia? Juzi hapa Tibaijuka amehojiwa kuhusu mali zake, akasema milioni kumi ilikuwa kwa ajili ya mboga yake ya siku mbili....
3. Mbona hatujawahi kusikia mtu yeyote akiitwa kuhojiwa juu ya mali zake
Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
Kwanini hujiulizi kuwa kama hizo mali alizipata kihalali kwanini apate cardiac arrest?
Jambo la muhimu la kujiuliza ni whether or not hizo tuhuma zina ukweli ndaniyake..ni kawaida sana kwa polisi kuunganisha case..we hujawai kuona mtu anasimama mahakamani anaunganishiwa mashtaka kwa case zaidi ya 10 ambazo zote zimefanyika nyakati tofauti?
Mbumbu wa kufikiri,wewe unajua kilichotokea hadi akazimia?au unataka mpaka siku wamfanyie mtu wako wa karibu ndo uwajue polisi wetu
Hatujawahi kusikia au hujawahi kusikia? Juzi hapa Tibaijuka amehojiwa kuhusu mali zake, akasema milioni kumi ilikuwa kwa ajili ya mboga yake ya siku mbili
Ilikuwaje mwanasheria wake asimuelekeze boss wake cha kufanya, kipi ajibu na kipi asijibu........wanasheria njooni huku mtusaidie hili limekaaje.........kwamza anaendeleaje kiafya?