Gwajima yuko very wrong kwa hili! Extremely wrong!

Baba yako akiuza nyumba, huna uwezo wa kumfukuza mwenye nyumba kwa sababu nyumba ilikua ya Baba

Ila ukiwa huna akili za kuruka! Unaweza kumwita ukaongea Naye ukamweleza hali halisi uone atasjemaje au hata ujaribu kumrudishia hela yake! Akifanya dharau then, hata ukireact vibaya utaeleweka!
 
Hili ndio tattizo kuu lla Watanzania....kila mtu analalamika bila ya kutoa njia......
 
Duuh mambo mazito ,,aya ukiingilia maamuzi ya Watu ,,utapotea kama upepo ..,
 
Hili ndio tattizo kuu lla Watanzania....kila mtu analalamika bila ya kutoa njia......

Mkuu Nilisema Hili lingekuwa Suluhisho, but it is Too late now kwa Aproach Ambayo Nilishauri.

Soluhisho ni kuwaita Acacia na Ikiwezekana Diplomats wa Nchi zao na Kuwaambia Look here, mlipewa mkatataba wa ovyo sana Wananchi wanachachamaa, Hali inafukuta chini chini, Lazima tukae chini Tuweke Mkataba na Utaratibu mpya! Ambao ni Win Win. Kwa hali ilivyosasa! Intelligence tulionayo ni kuwa Wananchi wamechoka na Wakianza kuchoma migodi yenu wote tutakosa, "Is that too much to ask kutaka mlipe kodi 9% ya Faida yenu na 10% Kama Royalty which will leave you guys with over 81%?"
Mimi Ndivyo ningefanya! Wakikataa Nakula Jiwe miezi minne Baadaye Tuaoganize Wananchi kama Elfu moja wanaenda pale na kupiga Mawe, "Tunataka Dhahabu yetu Tunataka Dhahabu yetu" Na hakuna askari kupiga mtu. Wanakamatwa wananchi kama 10 wanawekwe kwenye Landrover, keshokutwa wanaachiwa! Wiki inayofuata Magari ya migodi yanapoigwa mawe na wananchi . Wazungu Mbio wanakuja, Tuko Tayari kwa Mazungumzo, Mnawaambia, Aku It is now completely out of our hands, the only solution is for you guys to give us the 21% we asked for, but also on top of that you must give 3% to the Local citizens for their public services, that may calm them down!

Hapo hakuna cha Kushitaki,Mtawaambia Mnataka Tuwafanyeje wanananchi tuwauwe? Maana. Wao hawaelewi. Mikataba. Kiulaini Mzungu anapiga hdesabuuuanzakubali " Something ,is. Better than nothing" they can't operate without Peace. That is for sure!


Ila Bashite alishampa Ushauri mkorogo, huu ,hautasadia tena!
 
Siku zote huwa nayaheshimu maoni yako.....

Bravo
 
TUME HURU YA UCHAGUZI
 
Umesema tumeingia mkenge sawa sasa mbona unaonyesha kupinga tutoke kwenye huo mkenge? Mh nyosha malezo tutoke vipi huko tuliko ingia?!
 
Usipo like ideas kama hizi utaishia kusema Kila kitu nyie mnapinga mbona hamtoi soln. Wakukurupuka atawapasua jamani.
 
Kuna watu wanajua kutetea wazungu na kuogopesha kama mleta mada kibaraka mkubwa
 
Something is wrong with your thinking! Umeweka heading ikimtaja Gwajima. Ndani naagalia wapi Gwajina anahusika na wapi yuko wrong, wewe unaelezaaaaa bila kuweka hiyo connection na badala yake unaeleza unayoyajua wewe!
Lakini pia naomba nikutahadhalishe. Unaeleza na kuonya mambo ambayo rais hajafanya. Wapi Rais amekiuka mikataba mibovu iliyokwisha sainiwa?

Hili la makontena halina uhusiano na mikataba. Hakuna mkataba hata mmoja uliowahi kusainiwa kwamba ACACIA waruhusiwe kudanganya. Wanayoruhusa ya kusafirisha, tatizo ni udanganyifu!

Sasa tueleze kama udanganyifu upo au haupo? PERIOD!
 
Kwa ufupi kabisa, wapi rais kakiuka mkataba? Kilicho ktk ajenda ni udanganyifu wa composition ya hizo concentrates. Kubishana kwenye bussiness ni kawaida na muhimu ni kutaka tufahamu kwa nini serikali inasema hivi, ACACIA wanasema vile. Kosa la rais ni nini hadi na wewe unaingia kwa mtindo wa Tundu Lisu??
 
Acha mambo yaendelee hivi hivu, ili ikifika 2020 tuwe tumepigika kweli kweli ili CCM itolewe kirahisi madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…