TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,815
True. Ila nilichomwelewa ni kwamba tuliowapa dhamana walituingiza mkenge lakini suluhisho au approach ambayo inatumika kutunasua huku walipotuingiza anaona sio sahihi.Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Mkuu toa suluhisho sahihi basi ili tulijadili tuone kama litakuwa suluhisho bora kuliko approach anayotumia mh. RaisiTrue. Ila nilichomwelewa ni kwamba tuliowapa dhamana walituingiza mkenge lakini suluhisho au approach ambayo inatumika kutunasua huku walipotuingiza anaona sio sahihi.
Hakuna anayebisha Tanzania kwenye Madini na Mafuta hatujaibiwa, Ila hatukuibiwa kwa Kulazimishwa! Tuliibiwa kwa Usaliti wa Viongozi wetu Kuanzia Marais na Mawaziri, Wanasheria na Wabunge wa CCM, akiwepo huyu Magufuli ambaye kwa Upumbavu sana! Na Nasema Kwa Upumbavu sana Kwa Kuwa Yeyote anayeshabikia Approach ya Magufuli kwenye hili swala la Madini ni Mpumbavu kiasi cha kuhurumiwa. Awe ni Rafiki au Ni adui kwangu Nitasema kwa Masikitiko sina Jina Lingine la Kumpa ni Mpumbavu!
Kuna msemo Usemao asiyejifunza kwa historia Mbaya, Itamrudia. Ni kweli Madini ni Yetu, Mafuta ni Yetu lakini Tumeingia Mikataba ya Kulunjwa ka hiyari yetu wenyewe au niseme kwa hiyari ya wale tuliowaamini Kusimania Nchi yetu!
Sasa Kuna aliyesema ati hatuwezi Kuacha Madini yetu kuchukuliwa kwa sababu ya Kakaratasi. That is None sense, mkataba ni zaidi ya Makaratasi na zina Wadau wengi, Kuna Mikopo ya Mabank, kuna share holders wanaozi commit pesa zao kutokana na assets za Campuni na Assets za Campuni ni pamoja na Zabuni na Contracts! Kukiwa na Dosari au Malalamiko credible njia pekee ya kuepuka migogoro yenye kuleta hasara Kubwa ni Negotiations sio Kutishana wala Uhuni.
1)Kuna Mifano Mingi ya Kujifunza, Uchumi wa Kenya leo Ni mzuri zaidi ya Tanzania kwa sababu Mwalimu Nyerere alitaifisha Mali za Wageni
2) Pia miaka ya 77 hadi 85 Tanzania tulipanga foleni kununua Kipande cha sabuni mbuni kwa kuwa Mwalimu Nyerere aligoma Kulipa Madeni na Pia aliingia Mgogoro na World Bank na IFM!
3)Vnezuela leo Kuna Shida kubwa ya Uchumi kwa sababu Hugo Chavez alitaifisha Visima vya Mafuta
Vya Wazungu kwa Vile tu aliamini Mafuta ni ya Venezuela. Sasa Venezuela haitawaliki
4) Zimbabwe Mugabe kachukua Ardhi which was Ok, lakini kwa Zoezi lililofanywa kihuni bila mpango wala Maelewano.
5) Iraq Saddam Leo ni Hayati lakini kisa hasa ni Mafuta alitaifisha Visima vya Wazungu na Miaka yote ugomvi wote waliyataka!
6) Ojuku wa Biafra alishidwa kwa Kuwa sera yake ilikuwa ni Kutaifisha Mali Biafra!
7) Qaddafi Vivyo hivyo
8) Salvador Ayende wa Chile walimreplace kwa kumuua na Kumweka Agusto Pinochet
9) Walipambana Na Fidel Castro miaka zaidi ya 50 Na mwisho baada ya kuteseka Cuba wanaelekea Ubepari.
CCM ilifanya Usaliti sana Kuiuza Nchi kwenye Kikapu kwa Hili swala la Madini. Ila Magufuli wa CCM anayetaka sifa za Kisiasa anafanya Kosa Kubwa zaidi kwa Kudhani ataweza kuponyoka kwa kutatua swala hili kihuni na kibabe kama Mazoea yake. Before we know it Tanzania itakuwa kama Zimbabwe ya Miaka mitano iliyopita. Je hiyo ni Hekima?
Haha. Nilikuwa nafafanua tu ili mjadala ukae vizuri.Mkuu toa suluhisho sahihi basi ili tulijadili tuone kama litakuwa suluhisho bora kuliko approach anayotumia mh. Raisi
Ni sawa kusema lori limekwama kwenye tope halafu tunaemtegemea kulinasua ameamua kufungua kifaa kimoja kimoja, kashatoa tairi zote na milango kwenye tope sasa anafungua siti.True. Ila nilichomwelewa ni kwamba tuliowapa dhamana walituingiza mkenge lakini suluhisho au approach ambayo inatumika kutunasua huku walipotuingiza anaona sio sahihi.
Mkuu,Jamani Ndugu zangu wa ukawa naomba tuweke Silaha chini tumuunge mkono mh. Raisi katika hili, hata kama kuna makosa yalifanywa na ccm siku zilizopita lakini sasa wanayarekebisha hilo ni jambo jema kwa nchi yetu, nchi kwanza siasa baadaye, wazungu wanasema hata kama umetembea umbali gani ukigundua umepotea geuka urudi ulikotoka ili ufuate njia sahihi
Kule U VCCM kumejaa vilaza. Mwalimu Nyerere alipogoma kulipa madeni ya wazungu na kushusha thamani ya shilling, kule ujiji Kigoma Kesho yake wakatangaza kuandamana kumuunga mkono kwa kukataa ukandamizaji wa wazungu. Hali ilipoanza kuwa ngumu miaka ya 80, wakamgeuka na kumsema mchonga hashauriki. The same itakuja kutokea muda siyo mrefu Magufuli itaiingiza Nchi kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na hapo hawahawa CCM watamgeuka na kumuita hashauriki. Ubabe katika mambo ya mikataba ni kujichimbia kaburi kiuchumi.Ha ha ha haaaaaaaaaa
Hapa kazi tu
Magufuli oyeeeeeeeeeeee
Hao hao wanaomchekea ndio watakuja kumlaani,ni bora angekuwa anatumia muda mwiingi na watu wenye mawazo mbadala kuliko wale wanaomwambia "ndio mzee"Kule U VCCM kumejaa vilaza. Mwalimu Nyerere alipogoma kulipa madeni ya wazungu na kushusha thamani ya shilling, kule ujiji Kigoma Kesho yake wakatangaza kuandamana kumuunga mkono kwa kukataa ukandamizaji wa wazungu. Hali ilipoanza kuwa ngumu miaka ya 80, wakamgeuka na kumsema mchonga hashauriki. The same itakuja kutokea muda siyo mrefu Magufuli itaiingiza Nchi kwenye matatizo makubwa ya kiuchumi na hapo hawahawa CCM watamgeuka na kumuita hashauriki. Ubabe katika mambo ya mikataba ni kujichimbia kaburi kiuchumi.