Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,749
Baba mchungaji nae ni msukuma???Kuna wasukuma watatu wanapenda lakini kwasasa! Wanataka kilasaa wajadiliwe Wao...chyaaa tumeshawachoka.
HahahaBaba mchungaji nae ni msukuma???
haya maneno uchunguzi/mchakato/ upembuzi unaendelea tumefundishwa na CCMNgwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
Data zipo ila hazijakamilika!Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
[/Q
BISHOP CUM POLITICIAN
Bashite, gwaji, sizo!Kuna wasukuma watatu wanapenda lakini kwasasa! Wanataka kilasaa wajadiliwe Wao...chyaaa tumeshawachoka.
Mimi sio mkristu ila katika maaskofu hapa Tanzania naona huyu hanaga unafki kabisa huwa anasimamia anachokiamini kuanzia katiba mpya mpaka uwajibikaji wa serikali na wabunge pia!!!!Ngwajima ni tapeli sasa kwanini alisema atasema urai wa Antony Dialo wakati hana data? mara ooh ntasema elimu na mishahara ya watangazaji wa star tv kumbe huna data....oooh ntamlipua Bashite kumbe huna data....
Hakika Ngwajima umbea utakumaliza na utapeli utakupeleka pabaya.....endelea kupiga hela za waumini
Mm ninacho shanga ni jinsi wapinzani hasa chadema wanavyo geuzwa kama chapati, wanaacha kujadili mambo ya maana wanamjadili.