The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,354
- 1,912
Kwani alikuambia anautaka?Tafuta shughuli ya kufanya 2025-2030
2020 hata kura za maoni hakushinda, nyie wenyewe kwa kiherehere chenu mkaiba kura kumuweka madarakani, leo anawakosoa mnafunga kanisa lake.
Na kuna wengi tu mnao wabeba watawageuka.
Tena mkubwa kuliko Gwajima.