Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

Ametosheka huyo
 
Nao wanamchokozeaga nini, Gwajima huwa ha 'attack' bali anafanya 'counter attack', hawa wanaomchokoza hawajui tu wanavyompa 'kick'
 
Hao wote uliowataja kama wahanga wa mahubiri ya Ask. Gwajima ni watu mashuhuri na wengi wana wanasheria wao, sasa kwa nini wasimshitaki mahakamani huyo Askofu Gwajima anayewadharirisha?
 
Mkuu umejuaje kuwa kasema diamond ni freemason...leo gwajima kwani ametajapo jina la diamond??
 
Wewe bashite timu tuliza mshono wako ziba domo mpewe dozi mbn huyo bashite anayewateka watu hakemewi pumbavu ww
 
Akiachwa aendelee hivi!! We ulitakwa afanyweje? Utakuwa unahusika katika utekaji unaoendelea nchini..nyumbu wewe
 
Sijaona kitu kinachofanana na national security katika habari yote hii
 
aisee i was talking to my wife telling her exactly what you wrote.... yan the guy tayar ni threat kwa national security nakama ataachwa trust me majuto yatakua mjukuu...
 
Sioni kosa la Gwajima au na wewe freemason nn mbona husemi hawa wanaovamia media hawachukuliwi hatua tuliza mshono wako hauna point ....sawa na bashite tu
 

Ninachohofu, kuwa makini Jumapili ya Pasaka usijekuwa karamu yake, kwani atakutaja kwa jina kamili, ulipotoka na matokeo yako ya vidato... nawaza tuu
 
You..of small brain..you discuss nonsense..Give us break please
 
Mleta uzi upo sahihi. Nchi imekuwa ni umbea mtupu kutoka kwa gwajima
 
Gwajima ni kiongozi wa kiroho so anapowatahadharisha waumini wake wasisililize nyimbo za kishetani ni vibaya
 
Anayo yafanya Gwajima nina hakika ingekuwa ni mwanasiasa wa chama chochote kile ingekuwa shida sana. Kwanini serekali inafumbia macho kinacho endelea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…