Kosa la Makonda ni kwamba anapaswa kutambua yeye ni kiongozi mkubwa na habari anazotakiwa kutoa ni habari za umakini na si za udaku. Kosa la Gwajima pia anapaswa kutambua yeye ni kiongozi mkubwa wa dini, anapasa kupamba na mtu kiroho na kumuombea hata mtu akiwa adui yako. Sasa hawa viongozi wote wamechanganya humo siasa, udaku na ubabe wamesahau wao wanawadhifa gani kulingana na nafasi walizomo.