Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
54,015
Reaction score
43,157
Wanaukumbi.

Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na kuongea.

Siku 10 zilizopita alisema atarudi na kuongea mambo mazito sana na watu hawataamini. Hivi kaongea nini cha maana kwanza ? Au haya ndiyo alisema watu hawataamini kusikia au kuna mengine? Hivi haya aliyoyaongea ndiyo mambo mazito aliyoahidi na kutoa siku 10 kwa serikali kuyatekeleza? Alisema anaipa serikali siku 10 ifungulie makanisa yake la sivyo ataongea mambo magumu sana, haya ndiyo mambo magumu?

Gwajima analazimisha sana kuonyesha kuwa kanisa katoliki lina ugomvi na mgombea urais wa CCM na analazimisha sana ugomvi wake na serikali na hilo analoita kanisa lake uwe wa wakristo wote. Yaani hivi kweli Gwajima anataka kuaminisha watu kuwa yeye ametembelea sijui halmashauri 160 nchi nzima na huko kote ana wafuasi 150,000? Akimaanisha 150,000 x 160 = 24,000,000

Hivi huyu anayejiita Askofu Josephat Gwajima anajiona yeye ni nani kwanza? Yaani anapozungumzia kanisa lake lina watu 3.8m ana maanisha kanisa lipi?

Yaani anamaanisha 3.8m gawanya kwa makanisa 2006 maana yake kila kanisa lina wastani wa waumini 1,894? Pale kwenye lile banda lake la mabati pale panaweza kukalisha watu 1,800? Na hilo liko mjini achilia mbali hayo mabanda ya mabati huko mikoani?

Gwajima kaongelea suala la kukatwa kwa majina ya watu walioshinda ubunge lakini chama kikaamua kupitisha wengine kwa sababu mbalimbali .. Hivi Gwajima anawezaje kuwa kichwa maji kiasi hiki na kusahau kuwa yeye hakushinda kura za maoni kule Kawe mwaka 2020 na aliyeshinda akakatwa jina lake akapitishwa yeye kugombea ubunge. Kwani hili ni jambo gumu kwake kukumbuka? Mbona kipindi kile alishindwa kuona kuwa wananchi wa Kawe walistahili kupewa mtu waliyemchagua na siyo yeye?

Polepole anaendelea na tamthilia yake huku kajificha hajui anachopambania kila anakuja na matamko.

Chadema walisema uchaguzi hauwezi kufanyika taarifa kesho CCM wanazindua kampeni viwanja vya Kawe Dar es Salaam.
 
Kesho Mapema sana kuwahi Pale Kawe kwenda kusikiliza Sera Maridhawa kutoka kwa Chama Dume CCM
 
Ww ni moja ya vijana wanaokaa masaki
 
Hapana . Polepole siyo project. Gwajima siyo project. Project zipo kama za akina CHAUMMA
 
Kipindi ana bifu na makonda.Alisema Makonda anahisi gwajiboy anataka agombee ubunge koromije,ambako ilisemekana Makonda alikua na mpango huo pia.Gwaji akasema yeye hawezi kuwa mbunge wala rais,yeye ni mtumishi wa Mungu.Kwasababu akifanya hivyo kwake ni "DEMOTION".Zingatia hilo neno DEMOTION kauli inaumba
 
Kwani Chadema walisema.ccm hawataweza kuzindua kampeni zao? Hivi mbona akili huna? Walisema uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko;

Swali : Uchaguzi umefanyika?
 
In the process. CHADEMA wenyewe wanaomba kukutana Rais, hii dunia usipo kuwa na akiri unaweza tumiwa na wa janja njaa.
 
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom