Tetesi: GWAJIMA KULIAMSHA DUDE LEO

Status
Not open for further replies.
Shitee ameanza tena? Mamboleo fasta kaagiza kuwa asipojisalimisha ataletwa na pingu mkononi? Kwa kosa lipi? Konekti nots.....
 
Jamani mwenye huruma atutumie au kama vp Anitumie mwenyewe Pm wala sitaisambaza toka jana nahangaika kuitafuta.....
 
Ile video Yule sio Gwajima
Tukumbuke huyu mtumishi keshaandamwa na kuzushiwa Mengi,keshaitwa central Mara nyingi kwa tuhuma tofauti mpaka kupelekwa kwa mkemia mkuu kupimwa mikojo !ni wazi huyu mtu ana maadui wengi
 
Mie sina dini....kwa akili yangu na upeo wangu mdogo nilionao nasma hiyo vidio ya kubumbaaa..kuna kitu gwajima anatafutiwa na usishngae hata hiyo press na media anawza akashindwa kufanya leo coz hawatamuachia leo_Over!
 
img-20190507-wa0022-jpg.1091498.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom