Gwajima kujibu tuhuma za Bashite na kuelezea ukwepaji kodi wa Sahara Media

We huna insta si subscribe insta umchane uone balaa Lake,unaandika huku kwenye fake ID, mfuate kwa kutumia Facebook account yako ndio utajua balaa LA bishop atashusha data za ukoo wako wote
 
Mmemchoka na nani?
Nenda kule MMU ndio akili yako inatosha hoja nzito za kitaifa huziwezi.

Bishop Dr anatafta kiki au anachokozwa? Tulia mshedede ukuingie.
 
kusikia bwana wako Diallo ataumbuliwa umeshapaniki Tuliza akili tujue ni namna gani halipi kodi wakati Rais anahimiza watu walipe kodi
 
Anatumia vizuri madhabahu kukemea maovu, na kama makanisa yapo kiroho na kimwili na ndio maana yanasajiliwa kimwili. Na kama wachungaji wote wangetumia madhabahu kama anavyoitumia Gwajima nchi hii ingekaa vizuri!
Hapana kwa kweli
japo nitafurahia ubuyu
 
Reactions: BAK
Jamani kama huyu ndiye kiongozi wa kiroho waumini wake wanakuwaje?
Wanajisikia amani ya moyo mana wanapata upako na kujifunza yale waliyokuwa hawayafahamu,kama hili la mkwepa kodi wa Star TV..wakati huohuo Rais anasisitiza watu walipe kodi
 
Nani anakudanganya kuwa hivi vita ni vya kimwili?

Mtumishi wa Mungu hapaswi kuwa muoga, Gwajima is the real definition of how the Bishop should go...!

Viva Gwajima.
Kwa mtazamo wangu mimi madhabahu inakosewa.
 
Reactions: BAK
Atapiga sana sadaka j pili hii.. Huyu jamaa ni bonge la entrepreneur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…