Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2018
Posts
1,385
Reaction score
3,158
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
 
Vita vya lissu = vya Gwajima= chadema = vita vya haki
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
 
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Kwa kigezo kipi wasema watu wamesahau? Unachekesha.
 
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Empty head 🚮
 
Kwanini na yeye Gwajima anajijua kiongozi wa dini atoe kauli ambazo anajua serikali ita react?

Gwajima hana busara
 
hata hujui kujibu hoja. yaani sawa na shehe wa waislam aongee vibaya halafu waislam wengine wote wanazuiwa kusali kwenye misikiti yao, hauoni ni shida? achana na kwamba wewe binafsi unamchukia gwajima, basi wapende waumini wake au hata kama hauwapendi wape haki ya kuabudu. hauoni kama serikali inakosea? hivi uwa unahukumiwa kwa makosa ya mtu mwingine? Mungu na akutane nao na atetee watu wake.
 
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Wewe sio sehemu ya hao Watanzania unaowahurumia ?.Nafikiri hujatafakari vizuri kabla hujawasilisha andiko lako,other ways wewe ni Mmoja wa waofurahia kuona wengine wanapata matatizo as if wewe ni mtakatifu ktk Dunia hii.
 
Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Unaongea usilolijua, ya lissu imeisha vuka kimaifa, wote hawa wetu ,so kama drama iyo ni juu yake na Mungu wake sisi tunatimiza wajibu
 
Sasa Gwajima kasema anamwombea Tundu lissu, iweje amzime?

Rudi kufikiria upya!
 
Adhabu ni kubwa mno na kwa watu wasio na makosa.

1. mkosaji (kama amekosa) alikuwa gwajima.

2. adhabu wamepewa malaki ya waumini nchi nzima, hawatatakiwa kusali kwa sababu ya kosa la mtu mmoja.

3. kwa nini waumin wahukumiwe kwa mamkosa ya gwajima?

4. serikali ya rais muislam inafanya hivyo, hawaoni kama wataeleweka vibaya? tangu lini msikiti hata mmoja tu ulishawahi kufungwa hapa nchini, kwanini mfungie tu kanisa kubwa kama hilo,kwanini mnagawa watanzania?

imagine, maelfu ya watanzania wanaosali kanisa la ufufuo na uzima lililopo Tanzania, na nje ya nchi, wamefutiwa usajili kwa hio makanisa yao hayapo, kwa sababu tu mtu mmoja amekemea utekaji na uuaji wa raia. wale waumin wana kosa gani sasa? wale maaskofu mikoani nao waliyahubiri hayo? kinachoonekana ni kwamba, aliyetoa wazo hili sio mtu wa mlengo wa makanisa ya gwajima na inawezekana sio mkristo, ni mtu mwenye chuki na dini, ndio maana ameattack kanisa loote wakati kulikuwa na uwezekano kuadhibu gwajina na wengine wakaendelea kuabudu. Mungu ataamua!
Una hoja ya msingi.
Inawezekana tatizo ni kwamba taasisi za usajili wa mahehebu hazina mamlaka juu ya kiongozi wa kiroho wa dhehebu lolote. Kwa mfano, wangekuwa wanatoa leseni ya uchungaji wangeweza kufungia leseni ya Askofu Gwajima bila kuathiri kanisa lake.
 
Back
Top Bottom