Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu.

Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri..

Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
Kiki ya Lisu? Kwamba kajikamatisha mwenyewe? Nadhani tusiitumie makalio kufikiria
 
Back
Top Bottom