Gwajima, jitokeze hadharani Uongee Ukweli,Uondoe utata,la sivyo...

Gwajima, jitokeze hadharani Uongee Ukweli,Uondoe utata,la sivyo...

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
396
Reaction score
196
Wewe ni mtumishi wa MUNGU,tuhuma nzito zinakuandama kwamba ndo umevunja ndoa ya flora na kumpangishia hotel,binafsi siwezi kukunyooshea kidole maana nawaheshimu sana watumishi wa MUNGU,ukiwa kama mtumishi wa MUNGU unayeheshimika sana uliwazeje kukubali flora apange hotel badala ya kwenda kwao? flora sasa anaishi kwa kivuli chako,mimi namuogopa sana MUNGU,japokuwa bado sijafanikiwa kimaisha lakini MUNGU kanitoa mbali na kapigania sana maisha yangu,hivi kweli ktk maisha ya watz inawezekana kweli mtu kwenda kanisani na kuchangiwa mil 9 papo hapo? maswali ni mengi kuliko majibu,kama wewe huhusiki kwa namna yoyote na flora,kwa nini usimkane mbele ya media na taifa likaujua ukweli? wewe mtumishi wa MUNGU unakubali vp flora kuikimbia familia yake na kwenda hotelini? na bado anakuja kwako unampokea na kuitisha mchango wa mil 9? kwa nini hukumuita mbasha na kuwasuruhisha? nadhani unatambua kuwa MUNGU tunayemuabudu si mwanadamu,anatisha kuliko maelezo,kazi kwako Gwajima.
 
unataka maelezo mkuu, ni vema ila utambue gwajima hayupo jamii forum mfuate kamulize, yaani aache kutumikia kusudi la Mungu Aje Kujibu Tuhuma Za Kihuni Humu.
 
Nadhani hata kama Gwajima si memba JF lakini wafuatiliaji wa mambo watafikisha ujumbe; ni sahihi kabisa kama mtumishi aliyetukuka awe wazi juu ya hii skandali.
 
Nadhani hata kama Gwajima si memba JF lakini wafuatiliaji wa mambo watafikisha ujumbe; ni sahihi kabisa kama mtumishi aliyetukuka awe wazi juu ya hii skandali.

Anaogopa wengine watajitokeza aliowachukulia wake zao. Kashfa moja itazaa zingine.
 
Back
Top Bottom