Gwajima alipiga hesabu mbovu!

Mnajidanganya, wakristo hatuwezi ona wakristo wenzetu wananyanyaswa na huyo muislam tukanyamaza. Hii Vita tutashinda.
Kama Gwajima kapiga hesabu vibaya ujue na huyo alhaji nae kapiga hesabu vibaya kufungia kanisa badala ya Gwajima.
usiingize udini hapo mimi ni muislam lakin naunga hoja za Gwajima kwasababu hakuna aliyekuja kuzipindua zaidi ya vitisho.
 
Kwamba amekosea sana kukemea utekaji na uuaji wa raia wa nchi hii au unamaanisha nini
 
Yani hujui siasa,
Hujui dini,
Hujui crocheted kuhisu gwajima kama mwana siasa na kama mchungaji.

Wanaomjua kuanzia kipindi cha nyuma huko akiwasaidia chadema kulata wadhamini wa magharibi huko, akisaidia harakat za kuimarisha ukawa na movement za chadema wanaweza wakakupa dodoso.


Yan huyo jamaa akiliamsha dude kwenye tone tone pale panageuka na kuwa mvua.

Akiliamsha dude kwa wagombea.... bunge linatekwa mapema sa mbili ahsubuhi na wapinzani .

Akiamsha dude utakuja kujua kuwa mama etu ni mtu wa masijara, tarimba hana masterz wala degree, wabunge wa ccm 40 percent hawajasoma bali wamenunua vyeti,
 
Mkuu unapotosha wazi wazi tena asubuhi, kwanza Askofu Gwajima kahoji jambo ambalo lipo na ushahidi upo! Kwa hili tukubaliane mapema kuwa hajasema uongo!

Pili, mkuu majukumu ya ya msingi ya mbunge ni 3 mengine ni nyongeza tu. Moja na muhimu ni kuwawakilisha na kuwasilisha maoni ya wananchi wa jimbo lake bungeni jambo ambalo mimi na wewe tunakiri kuwa kalitendea haki kwa kipindi chote.

Jukumu la pili mkuu, ni kutunga sheria, kwa kipindi chote ameshiriki kikamilifu kutunga sheria kama wajibu wake, hakuna mahali popote ambapo spika amesema kuwa Askofu Gwajima alikuwa mtoro bungeni.

Na jukumu la tatu, ni kupitisha bajeti ya serikali na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa bajeti hiyo bungeni.

Tukubaliane hapa, mbunge hana bajeti ya maendeleo katika jimbo lake. Serikali ndio inawajibu na jukumu la kupeleka maendeleo katika kijiji, Kata, wilaya na mkoa chini ya watendaji wake husika.

Kwa maana hiyo unadanganya makusudi na kwa nia ovu kwa sababu ya uchawa na chuki zako binafsi dhidi ya Askofu Gwajima, mbunge ambaye ametimiza wajibu wake ipasavyo.

Mkuu, isitoshe unajinasibu hapa kuwa wewe ni mkereketwa wa chama cha CCM ambacho moja ya misingi yake mikuu ni kusema ukweli. Askofu Gwajima ambaye kada mwenzako, mbunge wa CCM na mjumbe wa NEC ya CCM kasimamia ukweli, kahoji jambo la msingi mno, halafu unaleta unafiki mbuzi hapa!

Mkuu inaonyesha ni jinsi gani huwezi kuaminika kwa lolote! Ujue muda huwa ni mwalimu mzuri, kuwa na akiba ya maneno!
 
na anayeumiza, kuteka na kuuwa watu naye anatafuta kiki ya nini?
 
Hata kama ni Kiki ni Kiki ya maana nyani mzee wewe
 
Jibuni hoja zake watakaji nyie
 
Gwajima hana njaa ya pesa kama Samia na ccm!!, angekuwa na njaa angechutama yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…