Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,771
- 27,504
Mchambuzi wa ⌚💯 mitano tenaKama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,
Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,
Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Meno ya Mamba: Huyu Jasusi la Mbinguni unayemuongelea ni Mtu Tofauti kabisa.Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,
Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,
Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Inaelekea wewe imani yako ndogo sana. Huyo Mama yako akifika mwezi wa 11 nitakupa 1M save huu ujumbeKama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,
Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,
Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Mnajidanganya, wakristo hatuwezi ona wakristo wenzetu wananyanyaswa na huyo muislam tukanyamaza. Hii Vita tutashinda.Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,
Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,
Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
sijawahi kusikia msikiti umefungwa hata mara moja, kwa sababu kosa la shehe sio kosa la waumini. hata ule wa mwembechai unafanya kazi hadi leo. ila kanisa limefutwa lote hadi braches zake mikoani na kote.Ma- padri mnawashambulia , makanisa mnayafunga… mnapoelekea mnaleta udini.
Wanafikiri kanisa ni la Gwajima.sijawahi kusikia msikiti umefungwa hata mara moja, kwa sababu kosa la shehe sio kosa la waumini. hata ule wa mwembechai unafanya kazi hadi leo. ila kanisa limefutwa lote hadi braches zake mikoani na kote.
Kwamba sio kweli Kuna watu wanatekwa na kufa katika mazingira ya kutatanisha na vyombo vya Dola haviwajibili ipasavyo?Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,
Bwana Gwajima alishayaona ya mbeleni ya kwamba kwa kuwa hakuna alilowafanyia Wana Kawe lolote lile la msingi, kurudi kwake bungeni itamuwia vigumu sana, ukizingatia wakati akiwa bungeni, kanisa liliporomoka kwa kiasi fulani kwa sababu bunge na maslahi yake yalimtosheleza kwa kiasi kikubwa sana,
Sasa kwa kuwa upande wa bunge unakwenda kutamatika aliona ni vyema akaliimarisha kanisa kwa njia ya Kiki, ili kuvuta hisia za walio wengi ili hatimaye kanisa lipate nguvu upya! for next survival
#Hesabu zake ameziwahisha mapema mno!, muda ulikuwa bado sana!
#Intelegensia!
Kama ilivyo kawaida maisha ni fedha, kwa lissu, mbowe, Lema na wote mnaowaona wanapiga kelele kwa kivuli cha Demokrasia,