Anakwepa asio wamudu. Mchungaji kampa NENO ZITO. Kila mwanadamu hujaribiwa na Mungu kadri ya ukubwa wa IMANI yake. Sasa Gwajima kinachomfanya kupayukapayuka na kutishia watu ni nini? After all Biblia inasema Kisasi si juu yenu, yeye roho ya kisasi kaitoa wapi?Anatafuta kiki kwa lazima hahaha hahaha na Gwajima wala hata hangaika kumjibu
Mkuu hawawezi kukuelewa coz wanachangia mada kwa ushabiki,they start attacking personality ya huyo mchungaji instead of addresing the topic,JF inazidi kupoteza ubora wake!!Anakwepa asio wamudu. Mchungaji kampa NENO ZITO. Kila mwanadamu hujaribiwa na Mungu kadri ya ukubwa wa IMANI yake. Sasa Gwajima kinachomfanya kupayukapayuka na kutishia watu ni nini? After all Biblia inasema Kisasi si juu yenu, yeye roho ya kisasi kaitoa wapi?
Ila kweli mkuuAnakwepa asio wamudu. Mchungaji kampa NENO ZITO. Kila mwanadamu hujaribiwa na Mungu kadri ya ukubwa wa IMANI yake. Sasa Gwajima kinachomfanya kupayukapayuka na kutishia watu ni nini? After all Biblia inasema Kisasi si juu yenu, yeye roho ya kisasi kaitoa wapi?
Gwajima na yeye mwenyewe haya anayoyafanya ni fursa kwake sasa hivi wapenda udaku wanapeleka sadaka kwake kila j2 wakijakushtuka jamaa ni msanii kashawapiga vya kutoshaJamaa amegundua kuwa Gwajima ni fursa, anataka amtumie kupata umaarufu na pesa.
Wachungaji wa aina hii ndio hujibanza machimbo na kunywa makonyagi kama BOB LUSE
Halafu hawahawa ndo wanajitapa wana vyeti wakati hata kujibu hoja tu wanapata tabu.Mkuu hawawezi kukuelewa coz wanachangia mada kwa ushabiki,they start attacking personality ya huyo mchungaji instead of addresing the topic,JF inazidi kupoteza ubora wake!!
Mwanadamu hujaribiwa sawasawa na ukubwa wa imani yake. Kwanini Gwajima anapojaribiwa anatangaza vita?
Nasubiri Gwajima kama atamsagasaga huyu Mchungaji au machine yake saa hizi yake ni akina Diamond na Makonda.
Huyu asipojibiwa ndio utakuwa mwisho wa mission yake.Jina lenyewe lakipuuzi
komando mashimo! who is this ?
Hawa wengine wakupuuza tu.....hata siro na makonda hawamjui huyu na hana lolote.