mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Maombi yangu Mungu awainue wachungaji wengine na maaskofu wengine wenye hulka na ujasiri sawa na huu wa Dr Askofu Gwajima
Hao waandishi wa habari wako wapi Kama sio kuna mshua amamrekodi na simu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Na nyinyi mwasema Gwajima ni nani?Ni muigizaji wa action movies....ingia YouTube andika komando mashimo utaona
[emoji106] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo jamaa atapata kansa ya koo... Mshaurini aongee kivingine
Jina lenyewe lakipuuzi
komando mashimo! who is this ?
Hawa wengine wakupuuza tu.....hata siro na makonda hawamjui huyu na hana lolote.
Siku hizi action movie hazina Kiki mkUuAnatafuta kujulikana kupitia mgongo wa mch gwajima na kimambi, kwanza kanisa lake silijui lilipo
Huyu jamaa ni muigizaji..... Angalia link hiyo
Huyu jamaa ni muigizaji..... Angalia link hiyo