Gwajima, acha kumdhihaki Rais

Na wewe mbona unapotosha?

Anachofanya huyo bwana stand up comedian yoyote anaweza kufanya, hawana uhusiano kabisa na Mwenye enzi Mungu.
 
Mungu alimchagua Ezekiel,sikumbuki vizuri,lakini Ezekiel aliambiwa ale mashonde,,,pia Ezekiel dish lilikuwa limeyumba kidogo
Yap!
Kuchaguliwa ni tofauti na kubarikiwa baraka njema.
 
Kwa dhama ya gwajima ya kwamba nichaguo la mungu huenda iko sahihi kama tu raisi aliyepo madarakani ni alichaguliwa na wananchi wenyewe ila kama haikuwa hivyo basi haiwezi kuwa chaguo la mungu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima hajakosea

Rais Magufuli ni chaguo la Mungu

Rais Magufuli ni Rais bora kwa sasa Africa and duniani
Thibitisha kwa ushahidi hii hoja yako na siyo unahemkwa tu na kuropoka! Hili ni jukwaa la wanaofikiri rationally, wathibitishie!
 
Usinitishe Wewe kijakazi wa Mabeberu
Thibitisha kwa ushahidi hii hoja yako na siyo unahemkwa tu na kuropoka! Hili ni jukwaa la wanaofikiri rationally, wathibitishie!
 

sikupi like
 
Gwajima hajakosea

Rais Magufuli ni chaguo la Mungu

Rais Magufuli ni Rais bora kwa sasa Africa and duniani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Gwajima hakukosea alivyo sema chadema wana mapepo [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Usinitishe Wewe kijakazi wa Mabeberu
Vitisho viko wapi kwenye hoja yangu? Na kijakazi na beberu ni Nini?
Usichanganyikiwe kihivyo, tulia na tafakari kabla hujajibu hoja ya mtu! Ona unavyopaniki. Hii ni dalili ya kuwa uwezo wako kichwani upo chini ya kiwango kinachoruhusiwa kuwa member hapa jf! Yakupasa kujifua Sana kielimu ili angalau ufanane na wajuvi wa hapa!
 
mungu wao sio Mungu wako
 
Magufuli ni chaguo la Mungu?

Si kwamba nakataa kuwa Magufuli siyo chaguo la Mungu, bali nataka ushahidi. Kama ushahidi
"Tiini kila mamlaka maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu”.
Gwajima is Right, Magufuli ni chaguo la Mungu kwa Tanzania!.

Naunga mkono hoja ya Gwajima kwa sababu Tanzania ni taifa la Mungu, sisi Watanzania ni watu wa Mungu, hivyo viongozi wetu sio tuu ni chaguo la Mungu, bali pia ni miungu wadogo.

Hapa ndipo Magufuli alipotokea
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Uthibitisho kuwa Magufuli ni chaguo la Mungu ni huu
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!

P.
 
Mtaalam wa ujasusi aliyetabiri kuuwawa kwa Rais wa North Korea na majasusi wa Marekani.
 
Kila mamlaka imeamriwa na Mungu .Anatawala duniani anamiliki mbinguni ...kwa hili nasimama na Gwajyboy.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Africa ndio inapewa mamlaka mbovu kuliko mabara yote je Mungu atupendi waafrica.Maana Africa ndipo pekee pa kujifunza case study za poor government,bad leadership maana wote wanafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…