Sidhani kama hali iko hivyo.
Cha msingi ni kwa walo nje uendapo TZ uwe clean.
Kama una social media accounts tofautisha kati ya binafsi na harakati.
Pia tukumbuke kwamba sasa hivi kuna advanced technology imekuwa applied huko tisiaraei na hiyo ni habari ya uhakika kabisa.
Juzijuzi nilipata nafasi ya kuhudhuria maonyesho ya teknolojia mbalimbali za usalama na khasa kwenye sekta ya mawasiliano na cybersecurity na nchi nyingi sasa hivi zashindana kupata wateja.
Uturuki, China, Russia na nchi zingine zimekuja juu sana, hivyo tahadhali ni muhimu khasa kwenye sekta ya mawasiliano.
Ni hayo tu.