Siwezi vaa heleni mke wangu na yeye avae nini sasa?
Dogo unamacho wewe...kakojoe ulale!
kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisameheni mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..
pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee forgive me all

Sawa kaka wa kazi hapo nakuaminia mbuzi ana sura nzuri uso wa kitimoto tu
mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)
thanx God hujaona my bestlady hamu ya kupost imeisha ngoja nichukue break nikatembee

Hahahaha haya dada usishoboke na sura na unaambiwa wazi sura sio roho karagha baho.
Wewe unashoboka na sura huyo huyo jamaa wa kazi wanambedua bedua kama watakavyo.
mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)
Eeeeeee Fidel sasa unaenda mbali huko. Lakini kwani kuna ubaya gani mwanaume akijiweka sopusopu uso haung'ai jasho pafyumu kidogo suruali imenyooka nyweli zimekaa sawa eee????
sasa Fide ndo unanifanya nizidi kutaka kuona niambie basi kwa PM ni kitu gani roho itanitoka mwenzio.....Na uhakika ungeona wewe siku yako ya leo ungekuwa umeipoteza kama si wiki yote ukawa unalia na kusaga meno.
Eeeeeee Fidel sasa unaenda mbali huko. Lakini kwani kuna ubaya gani mwanaume akijiweka sopusopu uso haung'ai jasho pafyumu kidogo suruali imenyooka nyweli zimekaa sawa eee????
sasa Fide ndo unanifanya nizidi kutaka kuona niambie basi kwa PM ni kitu gani roho itanitoka mwenzio.....
JS umenikumbusho mtanashati mwingine aliitwa Matukio Chuma!! alikuwa sopusopu kweli kweli sijui yuko wapi siku hizi
Naogopa nisije nikakuharibia bure siku yako na ukanichukia kwa kukuharibia swaumu yako,
Ukinipa konyagi mbili jioni nitakwambia.
Huyo hapo, alikuwa si mchezo.
Wadau nawakilisha tu.
mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)
kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisamehen i mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..