Guys mbona mko hivi??

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
Huyu kasuka nywele ?

afro+2.jpg

Huyu chini, mmh good one lakini kavaa heleni

shemar_moore_005.jpg

buzz-hairstyles.jpg

black+short+hairstyle.jpg

Huyu na Afro lake kapendeza :becky:

Sijui na JF kuna namba one & two?????????????????????????:sorry:
 
Huyu kasuka nywele ?

afro+2.jpg

Huyu mmh good one lakini kavaa heleni
shemar_moore_005.jpg

buzz-hairstyles.jpg

black+short+hairstyle.jpg

Huyu na Afro lake kapendeza :becky:

Sijui na JF kuna namba one & two?????????????????????????:sorry:

Sidhani kama Guys kamili kuanzia kwenye ubongo mpaka unyayoni anaweza kuvaa hereni..!
Hii kitu huwa inanisikitisha sana nionapo jinsia ya kiume inavaa ki kike.
 
Dada FL1 hao wakaka si mchezo wanavutia haswaa. ila yule wa kwanza yani ndo kaamua kabisa kusuka mtindo kidogo hapo mbele. Angalau wa mwisho afro toka enzi na enzi za mababu ilikuwemo kwenye fasheni ikichanwa na kichana cha moto cha kuweka kwenye jiko la mchina au mkaa. Nywele ikitoka hapo kama za huyo jamaa vile.
 
Sidhani kama Guys kamili kuanzia kwenye ubongo mpaka unyayoni anaweza kuvaa hereni..!
Hii kitu huwa inanisikitisha sana nionapo jinsia ya kiume inavaa ki kike.

Kwa kifupi inaboa ..
 
Jamani wekeni jukwaa la kikubwa

Kwani hizi picha za nywele na heleni zimevunja maadili ya jukwaaaaaaaaaaa wadau nijibuni ????????????????????????kama yes nitamuomba invisible aipeleke kule.
sitaki kumvunjia mtu heshima
 
Kwani hizi picha za nywele na heleni zimevunja maadili ya jukwaaaaaaaaaaa wadau nijibuni ????????????????????????kama yes nitamuomba invisible aipeleke kule.
sitaki kumvunjia mtu heshima

Hiyo ya chini ndo inavunja sheria ya jukwaa ni ya mwanamke
 
Wakaka wa kazi huwa hatuna mvuto uso wa mbuzi kazi tu.
Ukishoboka na sura mmmh unaweza ukajipiga kitanzi.
Kula gwala mkuu, lakini mbona naona imeongezeka picha nyingine siyofaa kwa hapa jamani.!
Hebu chukueni hatua mapema kuna wengine watoto wanaweza kuharibika kwa hii kitu.
 
Aibu picha kama hiyo ya chini,tafadharim itolewe haraka kabla sijafunga computer yangu.
 
Wakaka wa kazi huwa hatuna mvuto uso wa mbuzi kazi tu.
Ukishoboka na sura mmmh unaweza ukajipiga kitanzi.

Sawa kaka wa kazi hapo nakuaminia mbuzi ana sura nzuri uso wa kitimoto tu
 
Kwani hizi picha za nywele na heleni zimevunja maadili ya jukwaaaaaaaaaaa wadau nijibuni ????????????????????????kama yes nitamuomba invisible aipeleke kule.
sitaki kumvunjia mtu heshima
FL1 una uhakika maadili yako poa hiyo picha ya mwisho? MHHH...Omba ihamie jukwaa la mambo ya X! Ku-do tena hadharani jamani!
 
Back
Top Bottom