Sasa mkuu hata kinachokufanya ujichukie haujakieleza,tutakusaidiaje sasa?
Halafu ungeandika kwa kiswahili tu,ungeeleweka zaidi kuliko hiko kingereza cha FB
Jambo la muhimu,jifunze kuwa mtu wa watu,usipende kukaa peke yako mda wote
Hisia hizo zitakwisha tu