ndandawamalenja
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 548
- 664
Huyo kama mimi kabisa, usipoomba ntajuaje kama unashida ya hela? Mpige mzinga wa laki tano uone kama hakupi!!
Mnapata wapi nguvu hata ya kutaka hiyo tamu? Kama inakunogea, gharamikia basi. Nikupe chakula cha bure na bado tamu ya bure!!! excuse me!!!!
Akina kaka na kina baba, mwenye tabia kama hii maana yake ni nini? maana kama ni ubahili wa huyu umepitiliza. hana aibu.
yaani mnadate miezi 6 na watoto wanamfahamu anko?
Na analala? Mmmh, aisee maisha ni rahisi sana naona.
Huyo hana mpango wa maana, hawezi hata kuja na ukwaju?
nahisi umefanya haraka kuwatambulisha kwenye familia yako.hakuna mwanamume asiekuwa na kasoro.ila jamani ubahili uliopitiliza haufai.kwa nini usiongee nae na kumueleza jinsi unavyokwazika?ukiona habadiliki,weka maamuzi ambayo ni sahihi kwako.pima mazuri yake na mabaya yake,halafu amua mwenyewe
kwingine kote jamaa alikukosea sana dada yangu,ila hapo nilipo-bold sasa mama,................KWANI ULIMWAMBIA ''UNAUZA'' SHING. NGAPI!!!?kiukweli nimekwazika na lugha uliotumia hapa na ndio maana mnadharaulika!
kweli anakosea ila kutumia ''tamu'' (kama unavyoiita) kama ''bidhaa'' au ''sababu'' ya kufanyiwa karimu fulani ni kujitukanisha bana!zungumza nae kwa ukali kabisa kwamba anapaswa kuwa responsible kama ''uncle'' bana..ila usitumie ''tamu'' kama ngao,bidhaa,turufu plz!
Huyo kama mimi kabisa, usipoomba ntajuaje kama unashida ya hela? Mpige mzinga wa laki tano uone kama hakupi!!
Dah!ss na ww kwnn uctoe wakati una jua wanawake wanamatumizi mengi ya lzm!?......km mi nimeshakuacha ckunyingi coz cwez kuomba
Nimejuana nae about 5 years ago, by then alikua na mkewe. Pamoja na jitihada zake sikutaka kuanzisha uhusiano wowote nae kwa sababu ya yeye kua na mke.
alianzisha mawasiliano na mimi mwanzoni mwa mwaka huu na kuniambia kaachana na mkewe. sababu nimesikia za kwake tu mkewe sijamsikia hivyo unaweza kupata picha kua lazima ajipendelee.
nilihisi ananaitumia kiaiana, ila kabla sijamhukumu nikaona wababa mnipe mawazo yenu.
Nashukuru nitalifanyia kazi hili. Ila nina sababu nyingi zinazonishawishi kuwa kweli jana mke, ila ni bahili aliyepitiliza.
Haloooooooooo!!!!! Nicheke Ninenepe!!!!!!Khaaaaaaaa!!!
Dada acha UCHOYO!!!! Wanaume wengi ndo walivyooooo!!!!!!!! NDOA 70% ZINAENDESHWA KWA HISANI NA UDHAMINI MZITO WA KINA DADA!! Usione watu wanangaa na PETE zao vidoleni. Wanaume wagumu kweli kutoa, HASWAA AKIJUA UWEZO WA KUTOA UNAO!!!!!!!!
As long as HE MAKES YOU HAPPY, HE DSNT CHEAT, HE LOVES YOU AND HE MAKES YOU HAPPY, Hayo mengine we just BULLSHIT!!! Ndio wanaume wengi walivo HADI UWAKABE KOO!!!!!
Umri umeenda usipoangalia U WILL END UP LONELY!!!!!! HAKUNA MWANAUME COMPLETE PACKAGE!!!!!!!! Wote wana m apungufu yao tu!!! KAMA HELA UNAYO JST BUY YOUR HAPPINESS!!! ITS WORTH IT!
Usiwe kauzu kama Mama Lara 1, pamoja na mshahara na biashara zake, Hata Kuku wakipitishwa ofisini LAZIMA AMPIGIE MUMEWE kuulizia achukue wangapi, na pesa yake atarudishiwa lini! Akigomewa ndo hatuli kuku hivooooo!!!!! Hata pesa ya chumvi akitoa lazima adai!!!!!! BE GENEROUS TO YOUR MAN BANA!!!!!!!!!
kwangu hajawahi lala hajawahi lala hata siku moja, anakuja na kuondoka, faragha zingine ni out of my house. I am too matured to know this, huhitaji kunifundisha.
nauza ndio, wewe unavyowajibika kwa mke wako, hua anakuuzia kumbe ndio maana unafanya majukumu yanayokuhusu.
lara 1 ni burdani tosha! Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiii!Haloooooooooo!!!!! Nicheke Ninenepe!!!!!!Khaaaaaaaa!!!