Gurumo

Status
Not open for further replies.

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
6,359
Reaction score
2,379
Habari zilizopo mtaani ni kuwa gwiji Huyu wa Msondo na shabiki wa wana Msimbazi hatunaye tena! Kama ni hivyo Msondo itasimama kweli?
 
Habari zilizopo mtaani ni kuwa gwiji Huyu wa Msondo na shabiki wa wana Msimbazi hatunaye tena! Kama ni hivyo Msondo itasimama kweli?

Sad news (if true) but remember no one is irreplaceable.
 
oooh no! pole nyingi kwa familia, ndugu na watanzania wote
 
I am his fan and i will still be his fan. these are very sad news.... inatia huzuni sana kama ni kweli gwiji ametutoka... Mungu ametoa na ametwaa, Jina la Mungu lihimidiwe!...
 
Jamani huku kuisha ni mapenzi ya muumba tu au kuna namna? mie sijui
 
Bado nauliza kafa au ni tetesi hakuna uhakika??? aliye na uhakika atujuze!!
 
Poleni wahusika, week jana habari za kuumwa kwake zilikuwepo.
 
Jamani si tetesi tu, au imeshathibitishwa?
 
sina la kusema mpaka nihakikishe, mwenye taarifa za uhakika atuhabarishe jamani
 
Conclusively,we all fall under this foyer of death! Jipeni moyo, tutamkumbuka!
 
HABARI ZA UHAKIKA....
Nimeongea na John Kitime wa Njenje production ambaye ameniambia kuwa MSONDO wamesema kuwa huu ni uzushi ulioanza tangu jana.
Mzee Gurumo ni mzima na pia bendi yake ipo inafanya show mda huu ktk loctaion yake ya siku zote. anaendelea vyema kurecover

Wakuu tujitahidi kuweka realiable informations ambazo sources zake ni uhakika au la tutaingizwa kwenye mkumbo wa udaku na udakuzi.
 
Mwemyezi Mungu mwenye uwezo wa yote tunakuomba umpe afueni mja wako huyu Muhidin Gurumo kwani mapemzi yako sisi hatuwezi kuyapinga.!!
 
Well..............I am loss of words but recollect one of his last interview with TBC1.......................he commented on a certain issue which I am not at liberty to repeat here but in the back of my mind I wonder whether the Almighty God had something on his presumably demise..............
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…