Gunman kills 26 at Elementary School in Connecticut

It won't make sense to ban gun ownership in the US while there are already millions of illegal weapons in the streets. Gun ownership is relevant for self defense. What bothers me is the legalization to own these scary and dangerous assault weapons like M16, LR3000, AK47 etc
 
Huku kwetu kijijini mpakani na kijiji cha Ikungulyabashashi hatumiliki silaha, tatizo letu huku ni wachawi bhana!.
 
Haya mambo ya assault weapon inabidi yaangaliwe upya.
Right wing nuts hawakubali,wanasema guns dont kill people,people do kill people.

Lakini ukweli ni kwamba people kill people with guns.Na hivyo madhara ya kutumia assault riffles ni makubwa zaidi.

Ila tatizo lilipofikia sijui kama wata lisolve vipi,guns ni kama culture ya wamarekani.Na ukishakuwa nayo(most of them have),hutopenda mtu akunyang'anye.
 
slide_269944_1885441_splash.jpg

slide_269944_1885023_splash.jpg

slide_269944_1885462_splash.jpg

slide_269944_1885081_splash.jpg

slide_269944_1885401_splash.jpg

slide_269944_1885254_splash.jpg

slide_269944_1884963_splash.jpg
 
Huyu Khabithi, Ryan Lanza, kumbe kamuua mama yake mzazi. Duh, namuona hata Rais Obama (Commenderi-in Chief)anatowa machozi. Sio mchezo.
 
Right wing nuts hawakubali,wanasema guns dont kill people,people do kill people.

Lakini ukweli ni kwamba people kill people with guns.Na hivyo madhara ya kutumia assault riffles ni makubwa zaidi.

Ila tatizo lilipofikia sijui kama wata lisolve vipi,guns ni kama culture ya wamarekani.Na ukishakuwa nayo(most of them have),hutopenda mtu akunyang'anye.

Hawa NRA wao wanachoangalia ni faida tuu kwa kisingizio cha 2nd amendement.

Ila tatizo lilipofikia sijui kama wata lisolve vipi,guns ni kama culture ya wamarekani.Na ukishakuwa nayo(most of them have),hutopenda mtu akunyang'anye.
kweli kabisa utakuta mzee anampa mwanawe wa kiume wa miaka 8 gun ili aanze kujifunza ku shoot by the time anamiaka 18 ni marksmanship mzuri sana. Tatizo ni kuwa wamarekani hawana maadili kitu ambacho kinakuja kuleta madhara kama haya.
 
conn_shooting_008-e28c12e9989f25fe95357d50ecee23306bf8ba20-s3.jpg

President Obama wipes his eye as he speaks during a press conference at the White House following the shooting in a Connecticut Elementary School which left several dead, including children.
 
Hawa NRA wao wanachoangalia ni faida tuu kwa kisingizio cha 2nd amendement.

kweli kabisa utakuta mzee anampa mwanawe wa kiume wa miaka 8 gun ili aanze kujifunza ku shoot by the time anamiaka 18 ni marksmanship mzuri sana.
Wanaanzia kwenye kuwinda,kuna makala moja kwenye magazine niliiona mtoto wa miaka 8 kapiga picha akiwa amepose na "buck",na baba yake akiwa pembeni akimsifia ,kwamba ndiye aliyemwua mnyama huyo,tena akasema kwa mara ya kwanza alimwua akiwa na miaka 6.Hao bucks wako kama swala ama digidigi.Ni culture yao.
Obama naona amesema kwenye statement yake kuwa something must be done kwasababu haya yameshatokea sana.Na akasema ni wakati wa kuacha politics.

Lakini tena huyu gavana wa Connencticut na yeye katoka kuongea,anadai hili ni jambo ambalo lisingeweza kuzuiliwa,ukisoma btn the lines,kama huyo gov ni republican,basi usishangae ilikuwa ni kijembe cha kisiasa,kama kumjibu Obama kiaina.

Kiukweli watu ndiyo wanauwa watu,lakini inategemeana na silaha,silaha anayoitumia muuwaji inamatter pale inapokuja kwenye magnitude ya madhara hayo
 
Inatisha mkuu hawa jamaa kila siku nawaambiaga msishangae haya maafa yakitokea kwasababu guns are made to kill when tragedy like this happen it's not an accident. Halafu unakuta kuna wabongo ambao wanashadadi kuwa na gun eti wana exercise their right yaani ujinga mtupu.

Obama naona amesema kwenye statement yake kuwa something must be done kwasababu haya yameshatokea sana.Na akasema ni wakati wa kuacha politics.

Obama kwasasa hana wasiwasi kufanya chochote baada ya ku-win re-election ila NRA wanaushawishi mkubwa sana na kama atajaribu kuifuta 2nd amendement, basi wanaweza waka......

Lakini tena huyu gavana wa Connencticut na yeye katoka kuongea,anadai hili ni jambo ambalo lisingeweza kuzuiliwa,ukisoma btn the lines,kama huyo gov ni republican,basi usishangae ilikuwa ni kijembe cha kisiasa,kama kumjibu Obama kiaina.

Huyu governor ni democrat.

Kiukweli watu ndiyo wanauwa watu,lakini inategemeana na silaha,silaha anayoitumia muuwaji inamatter pale inapokuja kwenye magnitude ya madhara hayo
NRA wanatengeza pesa kwa kuwa feed watu huu ujinga na jamaa wameuza sana bunduki kipindi cha kwanza cha obama kuliko vipindi vyote viwili vya Bush na kutokana na statement ya obama leo NRA wataanza kuwatisha memba wao kuwa Obama atazichukua gun zao.
 
Nimeangalia hotuba ya Rais Obama akitoa machozi kama mzazi zaidi ya kuwa Rais, tudumishe upendo kwa watoto wetu na kuwalinda ipasavyo. Ni muhimu dunia ikafahamu kuwa katika Africa maeneo ya Congo, Central African Republic, TANZANIA, KENYA,LIBERIA,IVORY COAST, ZIMBABWE, RWANDA,MISRI, LIBYA na Nchi za Asia na kwingineko duniani watoto kwa maelfu wanakufa kila siku, juhudi za Dunia ziongezwe kuwalinda na kuwapa haki zao.
 
this breaks my heart!! I was speechless watching the news
poor innocent babies
 
All gun advocates ever say is "Guns don't kill people, people kill people". as if it explains the situation or makes everything better by waving a magic wand (gun).

I want to hear a gun advocate "LIKE REPUBLICAN SARAH PALIN" come up with a solution instead of this drone, outdated, "security blanket" ****!
 
It won't make sense to ban gun ownership in the US while there are already millions of illegal weapons in the streets. Gun ownership is relevant for self defense. What bothers me is the legalization to own these scary and dangerous assault weapons like M16, LR3000, AK47 etc

Why is it so hard for you to conceptualize the fact that a gun is different than a knife or a rock, all which have the capacity to kill. Yes murder, in and of it self speaks more to the individual than to the means of murder, but do we as a society have to make it so easy for this person to kill as many as possible by legalizing high-capacity magazines and semi-automatic assault rifle style weapons? Nuclear weapons dont kill people either...until they are used
 
Why is it so hard for you to conceptualize the fact that a gun is different than a knife or a rock, all which have the capacity to kill.

It takes a lot to kill someone with a knife or a baseball bat but with a gun all you need is to pull a trigger.
 
It takes a lot to kill someone with a knife or a baseball bat but with a gun all you need is to pull a trigger.
actually.... a sword would be considered as an illegal weapon possession if you are carrying it around in the street..... the reason why swords don't get as much as a bad rep is because to date there have been zero incidences with angry ninja showing up at recess to attack children....
 
You can get yourself into trouble if a cop find a knife in your car.
 
Back
Top Bottom