Ha ha ha...wewe lazima utakuwa ni member wa NRA!.
Mmmh, kwani wamesema muuaji ana miaka 20 au wamekufa wanafunzi 20? Naona kama wanasema wameuawa watu 26, kati ya hao ishirini ni wanafunzi na muuaji ni kama bado hajabainika. Wanahisia tu kwamba atakuwa ameuawa na polisi lakini ni kama bado hafahamiki. Anyway, story kama hizi kwa marekani si za ajabu. Miaka hata mitatu haijapita tangu yule dogo avamie chuo kikuu na kuanza kucharaza watu risasi huko huko marekani. Labda ni sehemu ya maendeleo pia.Sitashanga kubaini huyu dogo wa miaka 20 alikua anamiliki hizo silaha kihalali.
Umeisikiliza hotuba ya Obama? Kama hukupanga kulia unaweza kujikuta unatoa chozi. Maana yeye mwenyewe kila mara anakatisha hotuba kupangusa machozi. Anyway ndiyo hivyo tena. Kama kwenye nchi zilizoendelea kama hizi ambazo usalama upo wa hali ya juu kuna mauaji ya aina hii, je itakuwaje kwenye nchi zetu hizi ambazo vifaa vya usalama ni duni?Inauma sana' tena sana!
Ohhh boy! Here we go again. Just imagine, umemuamsha asubuhi, ukampa kifungua kinywa asubuhi, halafu ukampeleka mpaka kwenye mlango wa shule. Halafu unakuja kupata taarifa kama hii. Kwa kweli my heart goes out to the victims families.
You can get yourself into trouble if a cop find a knife in your car.
Inasikitisha mno....
Utadhani wanashindana nani atachukua maisha ya watu wengi zaidi ya mwengine
...Kama umechoka kuishi si ujimalize mwenyewe tu inahusu nini kwenda kuwaua watoto wadogo chungu nzima na kuwaachia wazazi wao, ndugu na jamaa majonzi makubwa na ya muda mrefu? Halafu bunduki aliyotumia/alizotumia huyu kichaa zilikuwa ni za mama yake ambaye naye kauwawa na huyu lunatic.
itakuwaje lini? Kwa sasa hivi na miaka yote ya nyumba hakuna vitu kama hivyo kwenye "nchi zetu hizi." Marekani ndio kuna utamaduni wa bunduki, usilinganishe maembe na machungwa, Tanzania hakuna kitu hicho!Umeisikiliza hotuba ya Obama? ...je itakuwaje kwenye nchi zetu hizi ambazo vifaa vya usalama ni duni?
Kumbe U.S.A ni kama Iraq na afghanistan tu, sasa kuna tofauti gani na suicide bomber anayejilipua sokoni katikati ya mitaa ya Baghdad?
So sad! R.I.P watoto!
A confused nation,full of confused heads so painful and touching!Haya yataendelea tu ndıo ishara za mwisho kukaribia,mpaka Obama katoa chozi ni hali yakuhuzunisha sana tu.
Kitendo cha kuua ni "actus reus", ili uuaji huo uwe wa ukichaa, unatanguliwa na mghafiliko wa akili hivyo kupanga kushoot randomly. Kitendo cha kupanga kuua ni "mens rhea" na hapa ndipo penye ukichaa wenyewe!.Vichaa wako kila sehemu. Hata baadhi ya madereva wa mabasi nao vichaa. Si unaona kila mara wanavyoua watu humo njiani? Ule nao ukichaa ule.
Kuona raha kwenye mchezo wa shooting nayo pia ni ukichaa fulani!, hata wanaipenda game za kuumizana, huona raha mtu anapouliwa, huu pia ni ukichaa fulani, hata wanaopenda horror movies nao pia ni ukichaa fulani!.Kila mtu anahaki kujidefend nwenyewe.my hubby owns 6 guns .He love guns ,mara ya kwanza nilikuwa naogopa akawa ananipa akanifundisha in case .saa zingine Mimi naendaga shooting range ni raha.msiogope bunduki
Ni Hali ya kuhuzunisha kwa kuwa Obama katoa chozi?
Fake tears.politics si mchezoitakuwaje lini? Kwa sasa hivi na miaka yote ya nyumba hakuna vitu kama hivyo kwenye "nchi zetu hizi." Marekani ndio kuna utamaduni wa bunduki, usilinganishe maembe na machungwa, Tanzania hakuna kitu hicho!
Na huyo Obama unaemzungumzia nadhani antics zake zinaweza kuwa ndio mara ya kwanza kutokea katika historia, kwa kujiliza hadharani. Kwenye matatizo tunategemea kiongozi wa "dunia huru" akija hadharani atoe masuluhusho, sio machozi!